Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Aliyekuwa Mkuu wa Wafanyakazi katika Ikulu ya Nairobi Nzioka Waita amemshutumu Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti kwa kuvamia majengo ya bunge la kaunti hiyo jana Jumatatu. Wavinya alivamia bunge hilo…