Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa kaunti ya Kirinyaga Anne Waiguru sasa anatabiri kuwa upinzani utagawanyika mara nne kufikia mwezi Aprili mwakani. Kauli zake zinawadia wakati ambapo viongozi wa upinzani wameahidi kudumisha umoja na…