Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wawili wa polisi wanaofanya kazi katika kampuni ya Kenya Power, Ofisi ya Kanda ya Pwani wamekamatwa kwa madai ya kuitisha hongo ya shilingi 100, 000 kutoka kwa mlalamikaji. Tume…