Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Huku mashambulizi ya kijeshi yakiendelea kushuhudiwa Mashariki ya Kati, Serikali ya Uingereza imekodi ndege ya kibiashara kutoka Oman kuwasaidia raia wake wanaotaka kuondoka eneo hilo. Ndege inatarajiwa kuondoka mjini Muscat…