Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kupitia mpango wa Afya kwa Wote UHC, wizara ya Afya imeanzisha kadi maalum za afya, zitakazotumiwa na wasichana wanaojifungua wakiwa na umri mdogo. Kulingana na wizara hiyo, kadi hizo zitaondoa…