Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Patrick Salvado Idringi amefichua kuwa atakapostaafu kutoka kwenye uchekeshaji, ana mpango wa kujitosa kikamilifu kwenye kilimo, jambo ambalo amekuwa akilifanya kwa kiwango cha chini kwa miaka mingi. Akiwa na uzoefu…