Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Kenya ,Police FC walipata ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ta Tusker FC,katika moja kati ya mechi mbili za Ligi zilizosakatwa Ijumaa katika…