Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Washukiwa wawili wamekamatwa wakisafirisha pembe sita za ndovu kwenye barabara ya Lodwar-Kalokol, kaunti ya Turkana. Kamanda wa polisi wa kaunti ndogo ya Turkana ya kati Evans Ombui, alisema wawili hao…