Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tonto Dikeh, mwigizaji, mwanasiasa na mhubiri wa Nigeria amejipata pabaya kutokana na alichokifanya katika shule moja nchini humo. Dikeh amekuwa akitangaza mipango ya usaidizi ambayo amekuwa akitekeleza katika shule mbali…