Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali leo imezindua mpango wa ufadhili unaolenga watu ambao hawajiwezi katika jamii kuwawezesha kupata huduma za afya. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo katika ikulu ya Nairobi, Rais William Ruto alisema…