Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Meli ya kivita ya Misri imewsilisha shehena ya pili ya zana za vita mjini Mogadishu Somalia, hali inayoongeza mchecheto baina ya mataifa hayo mawili na Ethiopia. Misri na Somalia wameongeza…