Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mhubiri tata wa nchini Kenya Paul Mackenzie, aliwahimiza wafuasi wake kususia chakula, akisema ilikuwa ni dhambi kula chakula. Hayo yaliibuka mahakamani wakati wa kusikilizwa kwa kesi ya mauaji ya Shakahola…