Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Polisi wameawarushia vitoza machozi wafuasi wa waliojitokeza mjini Kakamega siku ya Jumamosi kuhudhuria mkutano wa kisiasa ujulikanao kama Linda Mwananchi, ulioongozwa na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna. Sifuna alikuwa akiwahutubia…