Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Rais huyo wa zamani amekuwa nchini Marekani kwa kipindi cha wiki sita zilizopita. Akiwa nchini Marekani, Gachagua alitumia ziara hiyo kuikosoa vikali serikali ya Kenya Kwanza aliyoitumikia wakati mmoja.