Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kinara huyo wa ODM hajafutilia mbali uwezekano wa chama hicho kuwasilisha mgombea wa urais mwaka 2027. Anasema ODM na UDA viliingia kwenye ndoa itakayomalizika kabla ya uchaguzi mkuu ujao.