Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Raia nchini Qatar wameagizwa kuhamia maeneo salama, huku mzozo ukiendelea kughubika Mashariki ya Kati. Tahadhari hiyo imetolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Qatar, ambayo ilisema hiyo ni hatua…