Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kenya na Cyprus zinatarajiwa kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano, huku zikiweka msingi wa makubaliano ya mkakati wa kina utakaoongoza ushirikiano katika sekta mbalimbali za uchumi. Waziri aliye na mamlaka makuu…