Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Bunduki 26 zilizokuwa zikimilikiwa kinyume cha sheria zimesalimishwa kwa maafisa wa polisi katika kaunti ya Turkana. Usalimishaji huo ni sehemu ya juhudi zinazoendelea za kuleta amani katika kaunti hiyo. Polisi…