Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Hazina ya k¥Kitaifa ya Maeneo Bunge ya eneo la Lafey imefadhili kwa asilimia mia moja wanafunzi 150 wa kozi za ualimu kutoka eneo bunge hilo. Hatua hii ni juhudi madhubuti…