Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mamlaka ya Kitaifa ya Barabara kuu nchini(KeNHA) imefungua barabara ya mzunguko wa Globe kuingia jijini Nairobi kwa matumizi ya wasafiri. Barabara hiyo ilikuwa imefungwa tarehe 12 mwezi huu kupisha shughuli…