Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kundi la maafisa kutoka asasi mbalimbali za serikali, limewakamata washukiwa wawili wanaoshukiwa kuhusika katika ulanguzi wa mihadarati katika eneo la Ongata Rongai. Wawili hao walitiwa nguvuni kwenye operesheni iliyoongozwa na…