Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakenya zaidi wanaendelea kurejeshwa hapa nchini kutoka Thailand, huku kundi lingine likitarajiwa kuwasili Jumamosi alasiri. Kundi la asasi mbalimbali likiongozwa na katibu wa maswala ya Ughaibuni Roseline Njogu, litawapokea wakenya…