Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali ya Kenya imeelezea kujitolea kwake kuimarisha uwekezaji katika utafiti, sayansi na uvumbuzi kama hatua ya kusuluhisha changamoto zinazokabili jamii na uchumi. Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi, amesema serikali…