Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kundi la mwisho la Maafisa wa Polisi wa Kenya, limeondoka nchini Haiti na kurejea nyumbani, hatua inayoashiria kukamilika kwa kipindi cha vikosi vya usalama vya kimataifa kudumisha amani katika taifa…