Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mkutano huo utafanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Nairobi. Awali, chama hicho kilitangaza kuwa hakutakuwa na uchaguzi wa uongozi wala marekebisho ya katiba ya chama wakati wa mkutano huo.