Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Katibu katika Wizara ya Afya Mary Muthoni amelalamikia matumizi ya mihadarati miongoni mwa vijana hasa watoto wa shule. Amehusisha tabia hiyo na nyakati zinazobadilika na upatikanaji wa mihadarati hiyo kwa…