Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wajumbe wa Marekani na Iran wameshiriki mikutano tofauti na wapatanishi jijini Doha nchini Qatar katika hatua ambayo imesifiwa na Rais wa Marekani Donald Trump. Akizungumza na wanahabari jimboni Marylanda nchini…