Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba Marekani ilifanya mazungumzo na Iran mwishoni mwa wiki iliyopita. Akizungumza na wanahabari jana Jumanne jimboni Florida, Trump alidai kuna "mambo makuu ya makubaliano,"…