Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Magavana sasa wanataka Maseneta waliomdhulumu Gavana wa Samburu Lati Lelelit kuwajibishwa na pia wanamtaka Spika wa Seneti kuingilia kati na kutuliza mivutano kati ya pande hizo mbili.