Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mkuu wa zamani wa wafanyakazi katika Ikulu ya Nairobi Nzioka Waita ametangaza kuwa atajaribu bahati tena kwa kugombea wadhifa wa Ugavana wa kaunti ya Machakos kwa tiketi ya chama tawala…