Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakazi wa eneo bunge la Mwala katika kaunti ya Machakos wanazidi kunufaika na mradi wa maji kwenye mto Miu unaotekelezwa na jamii kwa kusudi la kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi,…