Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwanasheria Kyalo Mbobu aliuawa kwa kufyatuliwa risasi 8 na mtu aliyesemekana kuwa kwenye pikipiki mtaani Kareni Jumanne wiki. Uchunguzi kubaini kiini cha mauaji hayo unaendelea.