Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Chama cha ODM kimesema maandalizi yamepambana moto kuelekea mkutano wake maalum wa wajumbe (SDC) utakaoandaliwa Machi 27 mwaka huu. Chama hicho kilitoa ilani ya mkutano huo Machi 6. Akiwahutubia wanahabari…