Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) na Chama cha Wanasheria Nchini (LSK) zimeshirikiana kuimarisha kwa pamoja vita dhidi ya zimwi la ufisadi. Hayo yalitangazwa Jumatano baada ya mkutano…