Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Takriban watu 9 wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa vibaya baada ya matatu walimokuwa wakisafiria kuhusika kwenye ajali ya barabarani, katika eneo la Kisumu ndogo katika barabara ya Londiani - Kisumu.…