Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mashindano ya kitaifa yatandaliwa mjini Thika kuanzia tarehe 26 mwezi huu na timu zitakazotia fora, zitaenda mjini Morogoro - Tanzania, kwa mashindano ya Afrika Mashariki.