Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shule za Bukedea (UG), Cheptil na Kimilili zimetawazwa mabingwa wa Soka, Voliboli na handiboli mtawalia katika mashindano ya Afrika Mashariki baina ya shule za upili (FEASSSA) yaliyokamilika ijumaa hii mjini…