Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Klabu ya Kenya Pipeline ilisajili ushindi wa seti 3-1 katika mechi ya kuwania taji la Kenya Cup. Mchuano huo ulipigwa uwanjani Nyayo. Pipeline walishinda seti mbili za kwanza alama 25-17…