Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa usalama wa kitaifa Kipchumba Murkomen amemtembelea Mkurugenzi wa halmashauri ya bandari nchini William Ruto,anayepokea matibabu katika hospitali moja ya Mombasa, baada ya kuhusika kwenye ajali ya barabarani Ijumaa…