Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Washukiwa watatu zaidi wa wizi wa kimabavu wamenaswa mjini Kisumu na maafisa wa Polisi huku mali kadhaa za wizi zikipatikana. Kunaswa kwa majambazi hao kunafuatia oparesheni nyingine iliyoendeshwa eneo la…