Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Rais Prof. Kithure Kindiki amewatahadharisha wafanyabiashara wa Gikombaa dhidi ya wanasiasa wanaowachochea kukataa soko la kisasa wanalojengewa. Prof. Kindiki alisema kuwa ujenzi wa soko hilo utachukua muda wa miezi…