Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mabingwa wa Olimpiki Garby Thomas wa Marekani na Emmanuel Wanyonyi wa Kenya ndio wa hivi punde kuthibitisha kushiriki makala ya saba ya mashindano ya Kip Keino Classic continental Tour, yatakayoandaliwa…