Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa polisi katika kaunti ya Vihiga wamenasa magunia mawili ya mihadarati inayoshukiwa kuwa bangi. Polisi hao kutoka kituo cha Cheptulu kaunti ya Vihiga walisimamisha gari la abiria katika eneo…