Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mamlaka ya usafiri wa angani nchini KCAA imeanzisha uchunguzi kuhusu kilichosababisha ajali ya ndege huko Mosop, Nandi Hills. Ajali hiyo ilisababisha vifo vya watu wote sita waliokuwa kwenye ndege hiyo,…