Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais alizindua miradi mbalimbali ikiwa ni pamoja na uzinduzi wa barabara ya Kahara-Ngong katika eneo bunge la Kajiado Kaskazini, inayogharimu serikali shilingi milioni 100.