Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kiongozi wa chama cha Democratic Party (DP), Justin Muturi, amekataa vikali uwezekano wowote wa kushiriki mazungumzo na Rais William Ruto au kiongozi mwingine yeyote wa kisiasa anayetafuta kuunda muungano. Akizungumza…