Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Joseph Irungu maarufu kama "Jowie" amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mfanyabiashara Monica Kimani mnamo mwaka 2018. Akizungumza wakati wa kutoa hukumu hiyo leo Jumatano Machi 13,…