Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwanariadha Faith Kipyegon ametunukiwa tuzo ya hadhi ya juu zaidi ya Rais inayojulikana kama "Elder of the Order of the Golden Heart of Kenya - EGH". Akizungumza kwenye maadhimisho ya…