Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Taarifa ya Wizara ya Mawasiliano na Vyombo vya Habari nchini DRC, imesema jumla ya watu 1,155 wamethibitishwa kuambukizwa Ebola, wagonjwa 304 wamefariki na wengine 326 wametengwa au wanapokea matibabu.