Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto amesema serikali yake inajizatiti kuhakikisha taifa hili linawajumuisha wote na kuheshimu utofauti wa raia wake. Akizungumza leo Ijumaa alipokuwa mwenyeji wa waumini wa dini ya Kiislamu kuadhimisha…